Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katika barua yake kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama, Dkt. Abbas Araqchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni alisisitiza uovu wa Marekani dhidi ya vituo vya amani vya nyuklia vya nchi ya Iran ambapo alisema: Tunatarajia Baraza la Usalama na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutekeleza kikamilifu wajibu wao wa kisheria na kimaadili bila kuchelewa.
23 Juni 2025 - 16:02
News ID: 1700989

Tunatarajia Baraza la Usalama na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutekeleza kikamilifu wajibu wao wa kisheria na kimaadili bila kuchelewa.
Your Comment